peoplepill id: petro-wang-zuolong
PWZ
3 views today
3 views this week
Petro Wang Zuolong

Petro Wang Zuolong

The basics

Quick Facts

Gender
Male
Religion(s):
Birth
Age
58 years
The details (from wikipedia)

Biography

Petro Wang Zuolong (Shuanzhong, 1842 hivi - Shuanzhong, 6 Julai 1900) alikuwa mlei wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Waboksa.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai.

Tazama pia

  • Wafiadini wa China
  • Watakatifu wa Agano la Kale
  • Orodha ya Watakatifu Wakristo
  • Orodha ya Watakatifu wa Afrika
  • Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Petro Wang Zuolong kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
The contents of this page are sourced from Wikipedia article. The contents are available under the CC BY-SA 4.0 license.
Lists
Petro Wang Zuolong is in following lists
comments so far.
Comments
From our partners
Sponsored
Petro Wang Zuolong
arrow-left arrow-right instagram whatsapp myspace quora soundcloud spotify tumblr vk website youtube pandora tunein iheart itunes