peoplepill id: timotheus-of-mauretania
TOM
1 views today
1 views this week
Timotheus of Mauretania

Timotheus of Mauretania

The basics

Quick Facts

Gender
Male
The details (from wikipedia)

Biography

Timoteo wa Mauretania alikuwa shemasi aliyefia imani ya Ukristo huko Mauretania (leo nchini Algeria) wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Mei.

Pengine wanaunganishwa naye Polius na Eutiki kama mashemasi wafiadini.

Tazama pia

  • Watakatifu wa Agano la Kale
  • Orodha ya Watakatifu Wakristo
  • Orodha ya Watakatifu wa Afrika
  • Orodha ya Watakatifu Wafransisko

Tanbihi

The contents of this page are sourced from Wikipedia article. The contents are available under the CC BY-SA 4.0 license.
Lists
Timotheus of Mauretania is in following lists
comments so far.
Comments
From our partners
Sponsored
Credits
References and sources
Timotheus of Mauretania
arrow-left arrow-right instagram whatsapp myspace quora soundcloud spotify tumblr vk website youtube pandora tunein iheart itunes