peoplepill id: rogatianus-of-carthage
Rogatianus of Carthage
The basics
Quick Facts
Gender
Male
The details (from wikipedia)
Biography
Rogasyani wa Karthago (kwa Kilatini: Rogatianus; 256 hivi) alikuwa padri wa Karthago (leo nchini Tunisia) ambaye aliachiwa na askofu Sipriani mfiadini jukumu la kusimamia jimbo wakati wa dhuluma ya kaisari Decius.
Baadaye aliteswa na kufungwa kwa imani yake pamoja na Felichisimi.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Oktoba.
Tazama pia
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
The contents of this page are sourced from Wikipedia article.
The contents are available under the CC BY-SA 4.0 license.
Lists
Rogatianus of Carthage is in following lists
comments so far.
Comments
Credits
References and sources
Rogatianus of Carthage