peoplepill id: nassoro-mohammed
NM
Tanzania
1 views today
1 views this week
Nassoro Mohammed
Swahili Poet

Nassoro Mohammed

The basics

Quick Facts

Intro
Swahili Poet
Places
is
Gender
Male
Birth
Age
79 years
The details (from wikipedia)

Biography

Nassoro Mohammed (anajulikana zaidi kama Mzee wa Khairati; alizaliwa Kilwa, 1946) ni mtunzi wa mashairi nchini Tanzania, akitunga mashairi katika lugha ya Kiswahili.

Ni mtoto wa kwanza katika familia ya Mohamed Nassoro Mkutuka. Alizaliwa Kilwa na baadaye kuhamia katika mkoa wa Dar es Salaam. Baada ya baba yake kufariki dunia, mwaka 1960 alichukuliwa na kwenda kulelewa na shangazi yakeakiwa na umri wa miaka 18.

Alianza kujifunza kazi mbalimbali kama upakaji rangi, lakini alipenda ushairi tangu akiwa bado mtoto mdogo.

Vitabu

Mzee wa Khairati amechapisha diwani moja ya mashairi ya Kiswahili inayojulikana kama Diwani ya Khairati; diwani hiyo ilichapishwa mwaka 2019.

Marejeo

  1. ISBN 978-9987-792-03-0
The contents of this page are sourced from Wikipedia article. The contents are available under the CC BY-SA 4.0 license.
Lists
Nassoro Mohammed is in following lists
comments so far.
Comments
From our partners
Sponsored
Nassoro Mohammed
arrow-left arrow-right instagram whatsapp myspace quora soundcloud spotify tumblr vk website youtube pandora tunein iheart itunes