peoplepill id: mwanahamisi-salim-singano
MSS
Tanzania
2 views today
10 views this week
Mwanahamisi Salim Singano
Tanzanian woman, founder and chief executive of Strategy Action and Sasasha Consulting company.

Mwanahamisi Salim Singano

The basics

Quick Facts

Intro
Tanzanian woman, founder and chief executive of Strategy Action and Sasasha Consulting company.
A.K.A.
Mishy Singano
Places
Work field
Gender
Female
The details (from wikipedia)

Biography

Mwanahamisi Salim Singano (alizaliwa tar.) ni mwanamke wa Kitanzania, mwanzilishi na mtendaji mkuu wa Mkakati Action na Sasasha Consulting company. Pia anajulikana kama Mishy Singano.

Mwanahamisi Salim Singano ni mtalaam wa maendeleo ya kimsimu mwenye uzoefu wa kutosha kwenye Masuala ya kijamii na mwenye sera za Utetezi wa kampeni za Kimaendeleo zaidi ya miaka 10.

Ms Singano anafanya kazi kubwa kwenye shirika la Haki za Utetezi Wanawake, na kampeni za Unyanyasaji dhidi ya wanawake, Uwezeshaji wa Wanawake, Haki za umilikishwaji wa Ardhi, Mashamba na Haki za chakula, Utawala,Uongozi, na Haki ya Uzazi wa Kijinsia.

Kutokana na Talaluma yake Ms singano anafanya kazi kubwa na kuongoza Wigo wa ushirikiano ambao unahusisha Serikali na Taasisi za kiserikali za mkoa, na ngazi za kimataifa, ambazo ni Africa Union,Benki ya Maendeleo ya Afrika, United Nations Economic Commission for Africa na UNFCCC. Sekta binafsi, INGO’S, Muunganiko wa mwamvuli wa kikanda wa CSO, Jamii za kiraia, Taasisi za Utafiti wa kitaaluma.

Ms singano alianzisha ''Sasasha development consulting company'' kwa ajili ya kuangalia na kutoa Huduma za Kiufundi katika sekta za kimaendeleo na Mkakati Action ni kwa ajili ya kuangalia Uwezezeshwaji wa Wanawake na watoto maeneo ya mijini na sehemu masikini.

Ms singano amethibitishwa uwezo wake wa kufanya kazi na watu wengine kuwa ni mkubwa na pia ni mwanamke mwenye uwezo wa uongozi wa asili ambae anaweza kuongoza mitaa, kikanda na kimataifa programu za kuhimiza kazi za Utetezi na kampeni za jamii sanasana Haki za Wanawake.

Ms Singano amefanya kazi na vikundi vya watu tofauti tofouti kutokea sehemu mbalimbali za ulimwengu , Baadhi ya nchi ambazo Ms Singano amesafiri kufanya kazi ya kuwaungana mkono kazi anazofanya ni Marekani, Uingereza, Uholanzi,Ubelgiji, Ufaransa, Mexico, Bolivia, Ufilipino, Indonesia, Tunisia, Ethiopia, Kenya, Afrika Kusini, senegal.

Kazi anazofanya Ms Singano kwa sasa niː̈̇

Mshauri wa Sekretariati wa Washirika wa maendeleo ya Elimu,

Ni mshauri wa mradi wa jinsia-DFID-14ID,

Ni mshauri wa maendeleo kampuni ya SASASHA-GEO,

Mkakati Action- Mtendaji Mkuu,

Ni Mkurugenzi wa Bodi ya Maendeleo ya mtandao wa jinsia Tanzania,

Afrika Region Mountain forum- Anaongoza wanachama wa Baraza

Albertine Rift conservation society- Mshirika,

Marejeo

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-03-08. Iliwekwa mnamo 2019-03-07.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-03-08. Iliwekwa mnamo 2019-03-07.
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-03-08. Iliwekwa mnamo 2019-03-07.
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-03-08. Iliwekwa mnamo 2019-03-07.
The contents of this page are sourced from Wikipedia article. The contents are available under the CC BY-SA 4.0 license.
Lists
Mwanahamisi Salim Singano is in following lists
comments so far.
Comments
From our partners
Sponsored
Credits
References and sources
Mwanahamisi Salim Singano
arrow-left arrow-right instagram whatsapp myspace quora soundcloud spotify tumblr vk website youtube pandora tunein iheart itunes