peoplepill id: mohamed-mwikongi
acteur
Mohamed Mwikongi
The basics
Quick Facts
The details (from wikipedia)
Biography
Mohamed Said Mwikongi (amezaliwa tar. 18 Aprili 1979) ni mwigizaji wa filamu, tamthilia, mwongozaji na mtayarishaji kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina la "Frank" aliloigiza kutoka katika tamthilia ya Tufani na baadhi ya filamu alizocheza. Mwikongi amepata kuonekana katika filamu ya Behind the Scene, Dear Mama, Sikitiko Langu, na Dangerous Desire. Huyu nae anatoka katika kundi la sanaa la Kaole Sanaa Group.
Wasifu
Maisha ya awali
Maisha ya sanaa
Tazama pia
- Lucy Komba
- Mwanaidi Suka
- Steven Kanumba
- Vincent Kigosi
- Blandina Changula
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Mwikongi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
The contents of this page are sourced from Wikipedia article.
The contents are available under the CC BY-SA 4.0 license.
Lists
Mohamed Mwikongi is in following lists
By field of work
By work and/or country
comments so far.
Comments
Mohamed Mwikongi