peoplepill id: mariam-omar-2
Tanzanian politician
Mariam Omar
The basics
Quick Facts
The details (from wikipedia)
Biography
Mariam Omar ni Mwanasiasa wa visiwani Zanzibar, Nchini Tanzania, ambaye ni mwanachama wa chama cha Sauti ya Umma (SAU). Oktoba 30 2015 akiwa kama mgombea wa nafasi za uraisi kutokea chama cha sauti ya umma (sau),Mariam Omar alikua wa mwisho kati ya wagombea sita waliobaki, akipata asilimia 0.07% ya kura zote katika uchaguzi mkuu wa urais Tanzania.Alikuwa ni mwanamke wa kwanza kugombea nafasi ya uraisi visiwani Zanzibar.
Marejeo
- ↑ ZANZIBAR PRESIDENCY ELECTION RESULTS. Tanzanian Affairs. Tanzanian Affairs. Iliwekwa mnamo5 November 2010.
The contents of this page are sourced from Wikipedia article.
The contents are available under the CC BY-SA 4.0 license.
Lists
Mariam Omar is in following lists
By field of work
By work and/or country
comments so far.
Comments
Credits
References and sources
Mariam Omar