peoplepill id: lilian-nabora
LN
1 views today
1 views this week
Lilian Nabora
Main organizer of FASDO company

Lilian Nabora

The basics

Quick Facts

Intro
Main organizer of FASDO company
The details (from wikipedia)

Biography


Lilian Nabora (alizaliwa tar.) ni mmoja wa wanaharakati wanawake wenye ushawishi nchini Tanzania na muasisi na mratibu mkuu wa kampuni ya FASDO.

Wasifu

Lilian Nabora alizaliwa katika wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.

Ni mmoja wa wafanyakazi katika ubalozi wa Botswana huko Brussels nchini Ubelgiji akifanya kazi kwa muda wa ziada kama Msambazaji wa vifaa vya ofisi .

Lilian ni mmiliki, na mpiga picha wa Kampuni ya Creative Media, pia ni msanii wa grafiti.

Harakati

Mnamo mwaka 2008, Lilian aliamua kurudi sehemu alikozaliwa na kuhamasisha kundi la watu 20 kwa malengo ya kuelimisha na kusaidia vijana na watoto kutokana na umaskini na ugonjwa wa UKIMWI.

Mnano mwaka 2009 alifanikiwa kusajili taasisi ya Faru Arts and Sports Development Organization (FASDO).

Marejeo

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-21. Iliwekwa mnamo 2018-09-09. {{cite web}}: Text "archiveur" ignored (help)
  2. http://botswana-brussels.com/directory/
  3. https://kitoto.wordpress.com/tag/lilian-nabora/
The contents of this page are sourced from Wikipedia article. The contents are available under the CC BY-SA 4.0 license.
Lists
Lilian Nabora is in following lists
comments so far.
Comments
From our partners
Sponsored
Credits
References and sources
Lilian Nabora
arrow-left arrow-right instagram whatsapp myspace quora soundcloud spotify tumblr vk website youtube pandora tunein iheart itunes