peoplepill id: judy-jay
JJ
South Africa
1 views today
1 views this week
Judy Jay
South African DJ

Judy Jay

The basics

Quick Facts

The details (from wikipedia)

Biography

Judy Mahlatji (alizaliwa Desemba 2, 2001), ni Dj kutoka Afrika kusini na mtayarishaji wa rekodi, anayejulikana kama Judy Jay.Mnamo Novemba 2021 aliachana na muziki kutokana na matatizo ya afya ya akili,baada ya kukaa miezi miwili mbali na sanaa alitangaza kurudi mapema mwaka 2022.

Baada ya kurejea kwenye muziki, alipokea muongozo wa tamasha ulio na matukio 37 yanayoendelea mpaka mwishoni mwa Juni, na matukio nje ya nchi.Atatembelea nchi jirani kama vile Lesotho, Eswatini na Botswana mtawalia.

Katikati ya mwaka 2021, Judy Jay alishinda Diesel Denim Friday, ambapo alikua anashindana na zaidi ya madj 70 nchini. Aliletwa kwenye shindano hilo na HERO DJ, Lamiez Holworthy.

Mabishano

Wasanii wengi huona aibu kutokana na historia zao au walikotoka, Judy ni miongoni mwa wasanii hao. Mashabiki na wafuasi walisikitishwa sana Judy alipohojiwa kwenye Channel O ambapo aliulizwa anaishi wapi na akasema Bolivia estate huko Polokwane ambapo wafuasi wake walidhani angetaja Ga-Sekhukhune kama sehemu alikotoka hata hivyo, cha kusikitisha hakupataja.

Marejeo

  1. Judy Jay – Biography, Age, Career & Net Worth (en-US). SA Online Portal (2022-03-08). Iliwekwa mnamo2022-04-24.
  2. Judy Jay – Biography, Age, Career & Net Worth (en-US). SA Online Portal (2022-03-08). Iliwekwa mnamo2022-04-24.
  3. Thobile Mazibuko. Judy Jay hangs up her headphones, quits being a DJ (en). www.iol.co.za. Iliwekwa mnamo2022-04-24.
  4. https://www.kaya959.co.za/judy-jay-shares-the-reason-she-quit-music-in-2021-and-announces-comeback/
  5. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya2022-02-11. Iliwekwa mnamo2022-04-24.
  6. Oluthando Keteyi. Judy Jay to return after quitting being a DJ (en). www.iol.co.za. Iliwekwa mnamo2022-04-24.
  7. By Andiswa Ngenyane. JUDY JAY’S BACK MONTHS AFTER QUITTING! (en-US). Dailysun. Iliwekwa mnamo2022-04-24.
  8. Judy Jay 2023 & 2022 Latest Songs Download, Mixtape, EP, Video and Album - tunes (en-US). ZAtunes. Iliwekwa mnamo2023-02-26.
  9. https://www.amapiano.co/za/judy-jay-gets-massive-bookings-hours-after-she-announced-her-return/
  10. ICYMI: Judy Jay Takes The Diesel Denim Friday Win (en-US). Online Youth Magazine | Zkhiphani.com (2021-06-09). Iliwekwa mnamo2022-04-24.
  11. Thobile Mazibuko. Judy Jay wins Diesel Denim Friday (en). www.iol.co.za. Iliwekwa mnamo2022-04-24.
The contents of this page are sourced from Wikipedia article. The contents are available under the CC BY-SA 4.0 license.
Lists
Judy Jay is in following lists
comments so far.
Comments
From our partners
Sponsored
Credits
References and sources
Judy Jay
arrow-left arrow-right instagram whatsapp myspace quora soundcloud spotify tumblr vk website youtube pandora tunein iheart itunes