peoplepill id: joseph-butiku
JB
Tanzania
2 views today
2 views this week
Joseph Butiku
Tanzanian politician and retired soldier

Joseph Butiku

The basics

Quick Facts

Intro
Tanzanian politician and retired soldier
A.K.A.
Joseph Waryoba Butiku
Places
Gender
Male
The details (from wikipedia)

Biography


Joseph Waryoba Butiku (alizaliwa tar.) ni Mkurugenzi mtendaji na rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere (inayojulikana pia kama Mwalimu Nyerere Foundation) na ni msaidizi wa utafiti binafsi na mjumbe binafsi Tanzania.

Maisha

Joseph Butiku, kwa mujibu wa "A Biography of Julius Nyerere" p.66, ni miongoni mwa wanafunzi waliosoma pamoja na Rais wa kwanza na muasisi wa Tanzania Julius Kambarage Nyerere.

Joseph Butiku alihudhuria mafunzo ya kijeshi Monduli na alimaliza kama Luteni na hatimaye aliweza kufikia cheo kikubwa cha Meja.

Vilevile aliweza kuwa katibu mkuu wa faragha na Mkuu wa Wafanyakazi chini ya Rais Ali Hassan Mwinyi.

Alikuwa Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM kanda ya mkoa wa Mara na baadaye alikuwa Kamishna wa kikanda.

Marejeo

  1. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2017-06-11. Iliwekwa mnamo 2018-12-27.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2017-06-11. Iliwekwa mnamo 2018-12-27.
The contents of this page are sourced from Wikipedia article. The contents are available under the CC BY-SA 4.0 license.
Lists
Joseph Butiku is in following lists
comments so far.
Comments
From our partners
Sponsored
Credits
References and sources
Joseph Butiku
arrow-left arrow-right instagram whatsapp myspace quora soundcloud spotify tumblr vk website youtube pandora tunein iheart itunes