peoplepill id: hilda-kisoka
HK
1 views today
1 views this week
Hilda Kisoka
A director of The Purple Planet

Hilda Kisoka

The basics

Quick Facts

Intro
A director of The Purple Planet
Gender
Female
The details (from wikipedia)

Biography

Hilda Kisoka ni mkurugenzi wa The Purple Planet , shirika lisilo la kiserikali na lisilenga faida.

Tarehe 7 Aprili 2018 katika ukumbi wa mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Hilda Kisoka alitunukiwa tuzo kama mwanamke mwenye ushawishi mkubwa Tanzania.

Pia ni miongoni mwa wanawake wanamaendeleo ambapo anawataka wanawake waache kulalamika, waangalie soko kiundani, pia kuchukua fursa na kuitekeleza.

Marejeo

  1. https://www.pressreader.com/tanzania/mtanzania/20170502/281835758601264
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-09-04. Iliwekwa mnamo 2018-10-20.
  3. https://www.youtube.com/watch?v=dv7wMYxMNhA&t=19s
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-21. Iliwekwa mnamo 2018-10-20.
The contents of this page are sourced from Wikipedia article. The contents are available under the CC BY-SA 4.0 license.
Lists
Hilda Kisoka is in following lists
comments so far.
Comments
From our partners
Sponsored
Credits
References and sources
Hilda Kisoka
arrow-left arrow-right instagram whatsapp myspace quora soundcloud spotify tumblr vk website youtube pandora tunein iheart itunes