peoplepill id: george-tyson-1
Kenyan film director
George Tyson
The basics
Quick Facts
Intro
Kenyan film director
Places
Work field
Gender
Male
Birth
Age
51 years
The details (from wikipedia)
Biography
George Tyson (jina la kuzaliwa George Otieno Okumu; 1973 - 30 Mei 2014) alikuwa muongozaji wa filamu kutoka Kenya.
Alijulikana kwa kuongoza filamu kama Girlfriend na Dilemma. Girlfriend ilikuwa filamu yake iliyompa sifa kiasi kikubwa nchini Tanzania. Filamu ilitayarishwa na Sultan Tamba na kusambazwa na GMC Wasanii Promoters.
Alifanya kazi hasa nchini Tanzania hadi alipofariki katika ajali ya gari akiwa anarudi kutoka Dodoma kwenda Dar es Salaam. Wakati wa kifo chake alikuwa na umri wa miaka 41.
Alifanikiwa kupata mtoto wa kike aitwae "Sonia" (2002) na muigizaji wa filamu wa Tanzania Yvonne Cherrie Monalisa.
Marejeo
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu George Tyson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
The contents of this page are sourced from Wikipedia article.
The contents are available under the CC BY-SA 4.0 license.
Lists
George Tyson is in following lists
comments so far.
Comments
Credits
References and sources
George Tyson