peoplepill id: ephraim-nehemia-madeje
Tanzanian politician
Ephraim Nehemia Madeje
The basics
Quick Facts
The details (from wikipedia)
Biography
Ephraim Nehemia Madeje ni mbunge wa Tanzania katika jimbo la uchuzi la Dodoma mjini alipochaguliwa 2005 kama mgombea wa CCM kwa asilimia 91 za kura zote.
Madeje ni mzaliwa wa kijiji cha Buigiri. Alisoma BA ya uchumi kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akafanya kazi katika Shirika la Posta la Tanzania na 1994 - 2005 alikuwa mkurugenzi wa Tume la Mawasiliano Tanzania.
Chanzo
- Tovuti ya Bunge la Tanzania
The contents of this page are sourced from Wikipedia article.
The contents are available under the CC BY-SA 4.0 license.
Lists
Ephraim Nehemia Madeje is in following lists
By field of work
By work and/or country
comments so far.
Comments
Ephraim Nehemia Madeje