peoplepill id: emmanuel-myamba
EM
1 views today
1 views this week
Emmanuel Myamba
Acteur

Emmanuel Myamba

The basics

Quick Facts

Intro
Acteur
Gender
Male
The details (from wikipedia)

Biography

Emmanuel Peter Myamba ni mwigizaji, mwongozaji na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Tanzania. Anafahamika sana kwa kucheza kama mchungaji katika filamu ya Sikitiko Langu ambayo alifanya vizuri na hatimaye kuja kucheza tena uhusika huohuo katika filamu kibao hapo baadaye na Fake Pastors. Myamba ambaye baadaye akaja kuwa mchungaji katika maisha ya kweli. Amefungua kanisa lake huko Kigamboni.Myamba pia amefungua chuo cha mambo ya uigizaji wa filamu kinachoitwa Tanzania Film Training Center na vilevile kampuni ya utengenezaji wa filamu Born Again Film Company inayotengeneza na kusambaza filamu. Baadhi ya filamu alizocheza ni pamoja naMoses, Pastor Myamba Temptation, Saturday Morning, White Maria, Msukule,My Pastor, This Is It, From China With Love, Last Minutes, Penina, Fake Pastors na Dar 2 Lagos.

Baadhi ya filamu alizocheza

  • Gods Kingdom
  • The Spirit of Miss Marry
  • Pasuko la Moyo
  • Dangerous Forest
  • Pamoja
  • My Man
  • Cheque in the Bible
  • The Promise of Pain
  • Queen Spear
  • Campus
  • Pastor Myamba the Trial
  • Ray of Hope
  • Bad Saturday
  • Shoga Yangu
  • Moses
  • Pastor Myamba Temptation
  • Saturday Morning
  • White Maria
  • Msukule
  • My Pastor
  • This Is It
  • From China With Love
  • Last Minutes
  • Penina
  • Fake Pastors
  • Dar 2 Lagos

Tazama pia

Marejeo

  1. Kanisa la Myamba Kigamboni, Dar es Salaam. Mnamo 14 Agosti, 2017.
  2. Emmanuel Myamba katika Bongo Cinema.com
The contents of this page are sourced from Wikipedia article. The contents are available under the CC BY-SA 4.0 license.
Lists
Emmanuel Myamba is in following lists
comments so far.
Comments
From our partners
Sponsored
Credits
References and sources
Emmanuel Myamba
arrow-left arrow-right instagram whatsapp myspace quora soundcloud spotify tumblr vk website youtube pandora tunein iheart itunes