peoplepill id: edward-mrosso
EM
Tanzania
4 views today
4 views this week
Edward Mrosso
Tanzanian Lawyer

Edward Mrosso

The basics

Quick Facts

Intro
Tanzanian Lawyer
Places
Work field
Gender
Male
Place of birth
Arusha, Arusha Region, Tanzania
Residence
Arusha, Arusha Region, Tanzania
Family
Relatives:
Atanasia Karoli Irene Tarimo
Employers
Tanganyika Law Society
Tanzania
The details (from wikipedia)

Biography

Edward John Mrosso (alizaliwa mkoani Arusha), ni mwanasheria wa Kitanzania na wakili wa kujitegemea ambaye aliwahi kuwa mjumbe wa bodi ya maji mkoa wa Arusha (AUWSA) katika kipindi cha mwaka 2018 hadi 2021.

Kazi

Mrosso ni mwanasheria na wakili ambaye ni mjumbe wa kamati za kiutawala wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), alipata wadhifa huo baada ya kufanyika mchakato wa uteuzi wa chama hicho uliofanyika mnamo mwaka 2019.Katika shughuli za utalii nyanda za juu kaskazini, ni mdau kama mwekezaji na mjasiriamali.Pia ni mwenyekiti wa kamati ya fedha wa Jimbo kuu la kanisa Katoliki Arusha.

Matukio

Mnamo mwaka 2020, aliyekuwa waziri wa maliasili na utalii, Hamisi Andrea Kigwangalla alimpongeza Mrosso kwa kuvutia wageni wa nje katika kampeni ya kuhamasisha ongezeko la utalii nchini Tanzania baada ya wimbi la changamoto ya ugonjwa wa uviko-19 (COVID-19) kuathiri uchumi na kupunguza idadi ya watalii wa nje ya nchi.

Mnamo mwaka 2018, Mrosso na mteja wake walikamatwa na vyombo vya sheria kutokana na maagizo ya aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na baadae kuachiwa huru kwa dhamana. Tukio hili lilihusisha changamoto za kutofuata taratibu na miongozo ya ukiukwaji wa mamlaka za viongozi wa Serikali na wadau wengine katika mimili ya sheria. 

Marejeo

  1. Board of Arusha Urban Water Supply and Sanitation Authority (AUWSA) (en). The Citizen (2 Mei 2018). Jalada kutoka ya awali juu ya2023-06-30. Iliwekwa mnamo2023-06-30.
  2. Junior, Michuzi (5 Mei 2018). Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira jiji la Arusha Aprili 23, 2018 hadi Aprili 22, 2021..
  3. APPOINTED MEMBERS OF TLS COMMITTEES. Tanganyika Law Society.
  4. Former plantation site turned into a tourist business. Jalada kutoka ya awali juu ya2023-06-30. Iliwekwa mnamo2023-06-30.
  5. The Arusha Archdiocesan Finance Committee.
  6. NCA annual narrative report on Tanzania (30 Mei 2010). Iliwekwa mnamo30 June 2023.
  7. Kigwangalla, Hamis [@HKigwangalla] (9 Julai 2019). Brother Kigwangalla, Congracts ! Your efforts have been noted & appreciated, finally we see results ! Today, we hosted them for lunch. It has been the 1st business after Covid. Edward Mrosso. Amani Restaurant & Lodges. Ahsante sana Ndg. Edward Mrosso,kwa kongole..
  8. Briefing by the Tanzania Minister of Natural Resources Tourism (en). Zara Tours (12 May 2020). Jalada kutoka ya awali juu ya2023-05-06. Iliwekwa mnamo2023-06-30.
  9. Ayo, Millard (16 Agosti 2018). DC Sabaya awasha moto aagiza Mkurugenzi akamatwe kwa ubadhirifu wa Milioni 700.
  10. Media, Mteza (17 Agosti 2018). Sabaya ameamuru kukamatwa Mkurugenzi wa TUDELEY na Mwanasheria wake..
  11. "Tuhuma za rushwa zamtikisa DC Sabaya", 30 Julai 2019. 
  12. "Wawekezaji wamchongea DC kwa Rais", 12 March 2019. 
  13. Siasa za Tanzana: Kikwete dhidi ya viongozi wenye tabia za umwamba. (sw). BBC Swahili (11 Oktoba 2019).
The contents of this page are sourced from Wikipedia article. The contents are available under the CC BY-SA 4.0 license.
Lists
Edward Mrosso is in following lists
comments so far.
Comments
From our partners
Sponsored
Credits
References and sources
Edward Mrosso
arrow-left arrow-right instagram whatsapp myspace quora soundcloud spotify tumblr vk website youtube pandora tunein iheart itunes