peoplepill id: dafrosa-itemba
Executive director
Dafrosa Itemba
The basics
Quick Facts
The details (from wikipedia)
Biography
Dafrosa Kokulingilila Itemba ni mtafiti katika masuala ya jamii, mazingira na afya, akilenga hasa katika ugonjwa wa UKIMWI.
Kazi
Dafrosa ni Mkurugenzi mkuu wa TAWREF (Tanzania Women Research Foundation) nchini Tanzania. Mnamo mwaka 2019, Dafrosa chini ya TAWREF walifikia kilele cha ujenzi wa nyumba 116 za bei ya nafuu kwa yatima na watoto waishio katika mazingira magumu, mradi ulioanza tangu 2012. Dafrosa amechapisha makala mbalimbali juu ya ugonjwa wa UKIMWI,mojawapo ya makala zake ni
- Ufanisi wa gharama ya ushauri wa bure wa VVU na upimaji hiari kupitia Mashirika ya kijamii ya huduma za UKIMWI katika jamii za Kaskazini mwa Tanzania.
- Historia ya Kiwewe na Unyogovu wa Kutabiri Kukamilika kwa Utiifu wa Matibabu ya Ukingaji Katika Nchi zenye kipato duni
Makala nyingine ziko katika kiungo hiki
Marejeo
- ↑ https://www.dailynews.co.tz/news/2019-07-205d32c2d26f8bb.aspx Archived 6 Julai 2020 at the Wayback Machine. iliangaliwa mnamo 08 Aprili 2020
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-07-06. Iliwekwa mnamo 2020-07-06.
- ↑ https://www.semanticscholar.org/paper/Cost-effectiveness-of-free-HIV-voluntary-counseling-Thielman-Chu/ac418947ba9663beea5fa7d2f5d79162bc727cb0
- ↑ https://www.semanticscholar.org/paper/Trauma-History-and-Depression-Predict-Incomplete-to-Whetten-Shirey/ad72dddc2afb1e10a7994c1f1ac20bb64a91f65a
The contents of this page are sourced from Wikipedia article.
The contents are available under the CC BY-SA 4.0 license.
Lists
Dafrosa Itemba is in following lists
By work and/or country
comments so far.
Comments
Credits
References and sources
Dafrosa Itemba