peoplepill id: attalus-of-lyon
Attalus of Lyon
The basics
Quick Facts
Gender
Male
Death
The details (from wikipedia)
Biography
Attalus wa Lyon ni mmojawapo kati ya wafiadini wa Lyon wanaoheshimiwa kama watakatifu.
Ni kwamba mwaka 177 dhuluma ya kaisari Marcus Aurelius dhidi ya Ukristo ilisababisha mauaji makubwa katika mji mkuu wa Gallia, jina lake Lyon.
Kati yao, ni maarufu hasa askofu Potinus wa Lyon na bikira Blandina wa Lyon. Wengine ni huyo Attalus, halafu Alexander wa Lyon, Espagathus wa Lyon, Maturus wa Lyon, na Sanctius wa Lyon.
Tazama pia
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Attalus wa Lyon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
The contents of this page are sourced from Wikipedia article.
The contents are available under the CC BY-SA 4.0 license.
Lists
Attalus of Lyon is in following lists
comments so far.
Comments
Attalus of Lyon