peoplepill id: antonio-nugaz
Tanzanian TV & Radio Presenter
Antonio Nugaz
The basics
Quick Facts
Intro
Tanzanian TV & Radio Presenter
Places
Work field
Gender
Male
Place of birth
Tanga, Tanzania
Star sign
Age
41 years
The details (from wikipedia)
Biography
Makala hii inahusu mada au mtu asiyejulikana sana. Kuna mashaka kama mada inastahili kuwa na makala katika kamusi. Onyo hili linaweza kuwekwa pia kama makala haionyeshi umaarufu, hata kama upo.
Watumiaji wanaombwa kushiriki katika majadiliano kama makala hii inafaa kubaki au la. Tazama:Wikipedia:Umaarufu
Juma Khatib Nugaz "Antonio Nugaz" (Amezaliwa Tarehe 10 Oktoba 1983, Tanga) Ni mtangazaji wa televisheni na radio, kwa sasa ni Afisa uhamasishaji na ushirikiano/uhusioano wa Mashabiki katika klabu ya mpira wa miguu kutoka Tanzania.
Nugaz ni miongoni mwa watu walio mashuhuri na wenye ushawishi mkubwa kwa watangazaji wa Televisheni na Redio, Tanzania na Afrika-mashariki kwa ujumla.
Tanbihi
- ↑ Nugaz: Yanga SC Communications Officer promises fans entertainment against Simba SC | Goal.com. www.goal.com. Iliwekwa mnamo2021-01-20.
- ↑ Mpira sio Chumvi, mashabiki tulieni - Antonio Nugaz (+Video) (en-US). Bongo5.com (2020-06-23). Iliwekwa mnamo2021-01-20.
The contents of this page are sourced from Wikipedia article.
The contents are available under the CC BY-SA 4.0 license.
Lists
Antonio Nugaz is in following lists
By field of work
comments so far.
Comments
Credits
References and sources
Antonio Nugaz