Biography
Lists
Also Viewed
The basics
Quick Facts
Gender |
|
The details
Biography
Viktoria wa Karthago (alifariki 304 hivi) ni kati ya Wakristo wa Karthago (katika Tunisia ya leo) waliouawa kwa ajili ya imani yao katika dhuluma ya kaisari Diokletian baada ya kukataa kuolewa ili aishi kitawa.
Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Februari.
Tazama pia
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko