Biography
Lists
Also Viewed
The basics
Quick Facts
Gender |
|
The details
Biography
Suksesi wa Karthago (kwa Kilatini: Successus) alikuwa Mkristo wa Afrika Kaskazini ambaye aliuawa kwa imani yake wakati wa dhuluma ya Dola la Roma.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Januari pamoja na wenzake 38.
Tazama pia
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko