Secundino de Roma

The basics

Quick Facts

Gender
Male
The details

Biography

Sekundini wa Roma alikuwa Mkristo aliyeuawa karibu na Roma kwa imani yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 1 Agosti.

Tazama pia

  • Watakatifu wa Agano la Kale
  • Orodha ya Watakatifu Wakristo
  • Orodha ya Watakatifu wa Afrika
  • Orodha ya Watakatifu Wafransisko

Tanbihi

The contents of this page are sourced from Wikipedia article on 17 Sep 2023. The contents are available under the CC BY-SA 4.0 license.