Biography
Lists
Also Viewed
The basics
Quick Facts
was | Priest | |
Work field | Religion | |
Gender |
| |
Religion: | Catholic church | |
Birth | 1515, Heeze | |
Death | 1572Brielle (aged 57 years) |
The details
Biography
Nikasi wa Heeze (1522 - 1572), alikuwa padri wa shirika la Ndugu Wadogo aliyefia imani ya Kikatoliki huko Uholanzi pamoja na wenzake 18 maarufu kama Wafiadini wa Gorkum.
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini. Kwanza alitangazwa na Papa Klement X kuwa mwenye heri tarehe 24 Novemba 1675, halafu mtakatifu na Papa Pius IX tarehe 29 Juni 1867.
Tazama pia
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nikasi wa Heeze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |