Nassoro Mohammed

Swahili Poet
The basics

Quick Facts

IntroSwahili Poet
PlacesTanzania
isPoet
Gender
Male
Birth1946
Age79 years
The details

Biography

Nassoro Mohammed (anajulikana zaidi kama Mzee wa Khairati; alizaliwa Kilwa, 1946) ni mtunzi wa mashairi nchini Tanzania, akitunga mashairi katika lugha ya Kiswahili.

Ni mtoto wa kwanza katika familia ya Mohamed Nassoro Mkutuka. Alizaliwa Kilwa na baadaye kuhamia katika mkoa wa Dar es Salaam. Baada ya baba yake kufariki dunia, mwaka 1960 alichukuliwa na kwenda kulelewa na shangazi yake akiwa na umri wa miaka 18.

Alianza kujifunza kazi mbalimbali kama upakaji rangi, lakini alipenda ushairi tangu akiwa bado mtoto mdogo.

Vitabu

Mzee wa Khairati amechapisha diwani moja ya mashairi ya Kiswahili inayojulikana kama Diwani ya Khairati; diwani hiyo ilichapishwa mwaka 2019.

Marejeo

  1. ISBN 978-9987-792-03-0
The contents of this page are sourced from Wikipedia article on 11 Feb 2024. The contents are available under the CC BY-SA 4.0 license.