Najma Murtaza Giga
Tanzanian politician
Intro | Tanzanian politician | |
Places | Tanzania | |
is | Politician | |
Work field | Politics | |
Gender |
| |
Birth | 5 September 1967 | |
Age | 57 years | |
Politics: | Party Of The Revolution |
Najma Murtaza Giga (amezaliwa 5 Septemba 1967) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge kupitia kwa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020.