Mariam Omar
Tanzanian politician
Intro | Tanzanian politician |
Places | Tanzania |
is | Politician |
Work field | Politics |
Birth | 1966 |
Age | 59 years |
Mariam Omar ni Mwanasiasa wa visiwani Zanzibar, Nchini Tanzania, ambaye ni mwanachama wa chama cha Sauti ya Umma (SAU). Oktoba 30 2015 akiwa kama mgombea wa nafasi za uraisi kutokea chama cha sauti ya umma (sau),Mariam Omar alikua wa mwisho kati ya wagombea sita waliobaki, akipata asilimia 0.07% ya kura zote katika uchaguzi mkuu wa urais Tanzania. Alikuwa ni mwanamke wa kwanza kugombea nafasi ya uraisi visiwani Zanzibar.