Lomodo
Musician
Makala hii inahusu mada au mtu asiyejulikana sana. Kuna mashaka kama mada inastahili kuwa na makala katika kamusi. Onyo hili linaweza kuwekwa pia kama makala haionyeshi umaarufu, hata kama upo.
Watumiaji wanaombwa kushiriki katika majadiliano kama makala hii inafaa kubaki au la. Tazama:Wikipedia:Umaarufu
Liberatus Zeno Yeronimo "Lomodo", alizaliwa mnamo mwaka 1994 tarehe 14 mwezi 1, Lomodo amezaliwa katika kijiji cha Kaseke, Mkoa wa Kigoma.