Joseph Butiku
Tanzanian politician and retired soldier
Intro | Tanzanian politician and retired soldier | |
A.K.A. | Joseph Waryoba Butiku | |
A.K.A. | Joseph Waryoba Butiku | |
Places | Tanzania | |
is | Politician Soldier | |
Gender |
|
Joseph Waryoba Butiku (alizaliwa tar.) ni Mkurugenzi mtendaji na rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere (inayojulikana pia kama Mwalimu Nyerere Foundation) na ni msaidizi wa utafiti binafsi na mjumbe binafsi Tanzania.
Joseph Butiku, kwa mujibu wa "A Biography of Julius Nyerere" p.66, ni miongoni mwa wanafunzi waliosoma pamoja na Rais wa kwanza na muasisi wa Tanzania Julius Kambarage Nyerere.
Joseph Butiku alihudhuria mafunzo ya kijeshi Monduli na alimaliza kama Luteni na hatimaye aliweza kufikia cheo kikubwa cha Meja.
Vilevile aliweza kuwa katibu mkuu wa faragha na Mkuu wa Wafanyakazi chini ya Rais Ali Hassan Mwinyi.
Alikuwa Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM kanda ya mkoa wa Mara na baadaye alikuwa Kamishna wa kikanda.