Jasmine Tiisekwa Bunga
Tanzanian politician
Intro | Tanzanian politician | |
Places | Tanzania | |
is | Politician | |
Work field | Politics | |
Gender |
| |
Birth | 4 April 1962 | |
Age | 62 years | |
Politics: | Party Of The Revolution |
Jasmine Tiisekwa Bunga (amezaliwa Aprili 1962) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ameteuliwa kuwa mbunge wa Viti Maalum vya Wanawake kwa Vyuo Vikuu kwa mwaka 2015 – 2020.