Irene Kisisa
Mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu akiichezea klabu ya wanawake ya Young Africans Princes ya Tanzania na timu ya taifa ya Tanzania ya wanawake Twiga Stars
Intro | Mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu akiichezea klabu ya wanawake ya Young Africans Princes ya Tanzania na timu ya taifa ya Tanzania ya wanawake Twiga Stars | ||
Places | Tanzania | ||
is | Athlete Football player Association football player | ||
Work field | Sports | ||
Gender |
| ||
Birth | 18 November 2004, Kigoma, Kigoma Region, Tanzania | ||
Age | 20 years | ||
Star sign | Scorpio | ||
Stats |
| ||
Sports Teams |
|
Irene Kisisa (alizaliwa 18 Novemba 2004) mkoani Kigoma. Ni mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu akiichezea klabu ya wanawake ya Young Africans Princes ya Tanzania na timu ya taifa ya Tanzania ya wanawake Twiga Stars.