Biography
Also Viewed
The basics
Quick Facts
Gender |
| |
Birth | 1 January 1522 | |
Death | 9 July 1572 (aged 50 years) |
The details
Biography
Jeromu wa Weert (1522 - 1572), alikuwa padri wa shirika la Ndugu Wadogo aliyefia imani ya Kikatoliki huko Uholanzi pamoja na wenzake 18 maarufu kama Wafiadini wa Gorkum.
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini. Kwanza alitangazwa na Papa Klement X kuwa mwenye heri tarehe 24 Novemba 1675, halafu mtakatifu na Papa Pius IX tarehe 29 Juni 1867.