Godbless Jonathan Lema
Tanzanian politician
Intro | Tanzanian politician |
Places | Tanzania |
is | Politician |
Work field | Politics |
Godbless Jonathan Lema ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Arusha Mjini kwa miaka 2015 – 2020.