Biography
Lists
Also Viewed
The basics
Quick Facts
Gender |
|
The details
Biography
Fortunatus wa Karthago (alifariki 303 hivi) alikuwa Mkristo aliyeuawa mjini Karthago (leo nchini Tunisia) pamoja na askofu Felisi wa Thibiuca, Audactus, Januarius na Septimus katika dhuluma ya kaisari Diokletian wa Dola la Roma, kwa kukataa amri ya kukabidhi vitabu vitakatifu vya Ukristo.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake na ya wenzake huadhimishwa tarehe 24 Oktoba.
Tazama pia
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko