Dunstan Luka Kitandula
Tanzanian politician
Intro | Tanzanian politician |
Places | Tanzania |
is | Politician |
Work field | Politics |
Dunstan Luka Kitandula ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mkinga kwa miaka 2015 – 2020. Alikuwa mwenyekiti wa kamati ya nishati na madini ndani ya bunge la Tanzania.