Biography
Lists
Also Viewed
The basics
Quick Facts
A.K.A. | Donat of Carthage | |
A.K.A. | Donat of Carthage | |
Gender |
|
The details
Biography
Donati wa Karthago (alifariki 430) ni kati ya Wakristo wa Tunisia ya leo waliouawa kwa ajili ya imani yao.
Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Machi.
Tazama pia
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko