Dafrosa Itemba

Executive director
The basics

Quick Facts

IntroExecutive director
isBusiness executive
Gender
Female
The details

Biography

Dafrosa Kokulingilila Itemba ni mtafiti katika masuala ya jamii, mazingira na afya, akilenga hasa katika ugonjwa wa UKIMWI.

Kazi

Dafrosa ni Mkurugenzi mkuu wa TAWREF (Tanzania Women Research Foundation) nchini Tanzania. Mnamo mwaka 2019, Dafrosa chini ya TAWREF walifikia kilele cha ujenzi wa nyumba 116 za bei ya nafuu kwa yatima na watoto waishio katika mazingira magumu, mradi ulioanza tangu 2012. Dafrosa amechapisha makala mbalimbali juu ya ugonjwa wa UKIMWI,mojawapo ya makala zake ni

  • Ufanisi wa gharama ya ushauri wa bure wa VVU na upimaji hiari kupitia Mashirika ya kijamii ya huduma za UKIMWI katika jamii za Kaskazini mwa Tanzania.
  • Historia ya Kiwewe na Unyogovu wa Kutabiri Kukamilika kwa Utiifu wa Matibabu ya Ukingaji Katika Nchi zenye kipato duni

Makala nyingine ziko katika kiungo hiki


Marejeo

The contents of this page are sourced from Wikipedia article on 19 Nov 2024. The contents are available under the CC BY-SA 4.0 license.