Biography
Lists
Also Viewed
The basics
Quick Facts
Gender |
|
The details
Biography
Kandida wa Karthago (20 Septemba 300 hivi), alikuwa mwanamke aliyeuawa katika mji huo (katika eneo la Tunisia ya leo) kwa sababu ya imani yake ya Kikristo wakati wa dhuluma ya kaisari Maximian.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake inaadhimishwa na Wakatoliki tarehe 20 Septemba.
Tazama pia
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko