Benito William Malangalila

Tanzanian politician
The basics

Quick Facts

IntroTanzanian politician
PlacesTanzania
isPolitician
Work fieldPolitics
Gender
Male
The details

Biography

Benito William Malangalila (amezaliwa tar. - ) ni mbunge wa jimbo la Mufindi Kusini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania. Anatokea katika chama cha CCM. Alikuwa Mbunge wa jimbo la Mufindi kusini (ccm) 2005-2010,alipoamua kustaafu na kumwachia mbunge wa Sasa Bw Menderady Kigolla (CCM) hata hivyo mbunge huyo kabla na baada ya kustaafu alikuwa akiugua mara kwa mara na muda wote toka alipoamua kuachana na siasa alikuwa akiugua na kujipumzisha nyumbani kwake.

Alifariki mwaka October 2012 na kuzikwa mkoani Iringa.

Tazama pia

  • Wabunge wa Tanzania

Marejeo

The contents of this page are sourced from Wikipedia article. The contents are available under the CC BY-SA 4.0 license.