Antoni z Hoornaert
Dutch priest
Intro | Dutch priest | |
Places | Netherlands | |
is | Priest | |
Work field | Religion | |
Gender |
| |
Religion: | Catholic church | |
Death | 9 July 1572Brielle, Netherlands |
Antoni wa Hoornaert (+ 1572), alikuwa padri wa shirika la Ndugu Wadogo aliyefia imani ya Kikatoliki huko Uholanzi pamoja na wenzake 18 maarufu kama Wafiadini wa Gorkum.
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini. Kwanza alitangazwa na Papa Klement X kuwa mwenye heri tarehe 24 Novemba 1675, halafu mtakatifu na Papa Pius IX tarehe 29 Juni 1867.
Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Antoni wa Hoornaert kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |