Biography
Lists
Also Viewed
The basics
Quick Facts
Gender |
|
The details
Biography
Antioko wa Anastasiopoli (alifia dini Anastasiopoli, Galatia, leo nchini Uturuki, 303 hivi) alikuwa Mkristo wa Ankara aliyeuawa kwa ajili ya imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian kama kaka yake Plato wa Ankara kabla yake.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini, pengine pamoja na Siriako ambaye inasemekana alijitangaza kuwa Mkristo aliposhuhudia muujiza uliotokea Antioko alipokatwa kichwa naye akauawa vilevile.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Julai.
Tazama pia
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/93034
- ↑ Martyrologium Romanum