Achola Rosario
Ugandan artist and journalist
Intro | Ugandan artist and journalist | |
Places | Uganda | |
is | Journalist | |
Work field | Journalism | |
Gender |
| |
Birth | 1978 | |
Age | 47 years |
Achola Rosario (alizaliwa 28 Oktoba 1978) ni msanii kutokea nchini Uganda na mtoa ripoti. Rosario anatumia sanaa yake, mashairi, na mtindo wa maisha usio wa kawaida kuendesha harakati zake kwenye mada kama siasa, mapenzi, ngono, na usawa wa nguvu kati ya walio nacho na wasio nacho. Achola pia aliandika nakala kwajili ya uhuru. Yeye pia ni mshindi wa tuzo ya ujasiriamali.
Hivi sasa ni mtengeneza filamu na mtayarishaji wa FOMO (Fear of missing out) kipindi cha safari, Achola Rosario ameanza kazi hii kwa namna isiyo ya kawaida. kutokana na Rosario kutokea South Planet, lakini ametokea kwenye familia ya kitamaduni wanayotoa mitishamba, madaktari na watafsiri ndoto, ambapo imemplekea kufanya anacho kifanya hivi sasa.
{{cite web}}
: More than one of |accessdate=
na |access-date=
specified (help); More than one of |archivedate=
na |archive-date=
specified (help); More than one of |archiveurl=
na |archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link){{cite web}}
: More than one of |accessdate=
na |access-date=
specified (help); line feed character in |title=
at position 12 (help)