Abubakar Shaabani Abdallah

Tanzanian politician
The basics

Quick Facts

IntroTanzanian politician
A.K.A.ABUBAKAR SHAABANI ABDALLAH
A.K.A.ABUBAKAR SHAABANI ABDALLAH
PlacesTanzania
isPolitician
Work fieldPolitics
Gender
Male
The details

Biography

Abubakar Shaabani Abdallah kijana mwenye umri wa miaka 35 aliyezaliwa na kukulia katika kijiji cha Ndembezi, ni mtoto wa tano katika familia ya watoto wa Maalim Shaabani Abdallah.

Alisomea katika shule ya msingi Ndembezi na kuendelea na masomo yake ya sekondari katika shule ya sekondari ya Taqwa, katika jiji la Mwanza.

Alijiingiza katika masuala ya siasa na hatimaye mnamo mwaka 2000 kuchaguliwa kuwa diwani wa Kata ya Ndembezi. Mpaka sasa kijana huyu anaendelea kushikilia nafasi yake ambapo pia amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Igunga.

The contents of this page are sourced from Wikipedia article. The contents are available under the CC BY-SA 4.0 license.