Abdallah Hamis Ulega
Tanzanian politician
Intro | Tanzanian politician | |
Places | Tanzania | |
is | Politician | |
Work field | Politics | |
Gender |
| |
Birth | 28 September 1979 | |
Age | 45 years | |
Politics: | Party Of The Revolution |
Abdallah Hamis Ulega (amezaliwa 28 Septemba 1979) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mkuranga kwa miaka 2015 – 2020.